Post Top Ad
Wednesday, 10 December 2025
Tuesday, 9 December 2025
HALI NI SHWARI KOTE NCHINI: JESHI LA POLISI LATHIBITISHA UTULIVU, JARIBIO LA KUCHOCHEA GHASIA LAPUUZWA
Jeshi la Polisi Tanzania limethibitisha rasmi kuwa hali ya usalama nchini kote ni shwari, huku jaribio la baadhi ya vikundi vya mtandaoni l...
JESHI LA POLISI LAWAONYA WACHOCHEZI WA MITANDAONI, LATHIBITISHA HALI YA USALAMA NI SHWARI
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa taarifa kwa umma, likiwaonya Watanzania kuhusu mbinu zinazotumiwa na wachochezi wa mitandaoni, amba...
AMANI NI MTAJI: MKUU WA MKOA WA TANGA AWAONYA VIJANA HATARI YA KUSIKILIZA UCHOCHEZI
Maafisa wa Serikali na viongozi wa vijana wameendelea kusisitiza umuhimu wa kulinda amani na utulivu wa taifa, huku ikitolewa tahadhari kwa ...
WATANZANIA WAHIMIZWA KUIENZI AMANI, KUKATAA UDINI NA UKABILA
Watanzania wakiadhimisha miaka 64 ya uhuru wa Tanzania Bara wametakiwa kuendelea kuienzi amani, utulivu na mshikamano vilivyo nguzo kuu za m...
UONGOZI BORA HUWEZESHA MASLAHI YA KITAIFA
Tanzania imeendelea kung’ara kimataifa baada ya kushinda tuzo ya dunia katika sekta ya utalii kwa mwaka wa pili mfululizo, ikitambuliwa kama...
TBN YATOA SALAAM ZA MIAKA 64 YA UHURU, YASISITIZA AMANI NA WAJIBU WA KUJENGA TAIFA
Tanzania Bloggers Network (TBN) leo imetoa salamu za pongezi kwa Watanzania wote katika maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru, ikisisitiza umuhim...
MCHOCHEZI WA MITANDAONI: ANAWAONGOZA WENGINE WATESEKE, HUKU YEYE AKIKIRI KUFURAHIA MAISHA MAREKANI
Kumekuwa na wito kwa Watanzania kutafakari kwa kina kauli za uchochezi zinazoenezwa na baadhi ya watu kupitia mitandao ya kijamii, hususan k...
Monday, 8 December 2025
VIONGOZI WA DINI NA WADAU WAUNGANA KUPINGA CHOKOCHOKO, WASISITIZA AMANI
Katikati ya hali ya sintofahamu inayochochewa na miito ya maandamano yasiyo na kikomo kutoka kwa baadhi ya wachochezi wa nje, Watanzania wam...
LICHA YA CHOKOCHOKO: TANZANIA YAENDELEA KUAMINIWA KIMATAIFA, ARUSHA KUANDAA MKUTANO MKUU WA IPU
Licha ya kuwepo kwa kampeni za uchochezi na miito ya kutatiza amani inayosambazwa, hasa kwenye mitandao ya kijamii, jamii ya kimataifa imedh...
AMANI NDIY0 MTAJI MKUU WA KIUCHUMI: WAJASIRIAMALI WAONYA DHIDI YA MAANDAMANO YA DESEMBA 9
Wajasiriamali nchini Tanzania wameibuka na onyo kali, wakipinga vikali miito ya kufanya maandamano yasiyo na kikomo, ikiwemo ile iliyopangwa...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.