TAARIFA YA JESHI LA POLISI TANZANIA: WITO WA KUKATAA WACHOCHEZI WA UVUNJIFU WA AMANI NA UHALIFU WA KIMTANDAO
Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa wito kwa wananchi wote kwa nafasi zote kuanzia ngazi ya familia kuwakataa watu wanaohamasisha uvunji...