Post Top Ad
Tuesday, 18 November 2025
JAJI MKUU MSTAAFU MOHAMED CHANDE OTHMANI KUONGOZA TUME HURU YA KUCHUNGUZA VURUGU ZA UCHAGUZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameunda Tume Huru ya Uchunguzi kuchunguza matukio ya uvunjifu wa ama...
WATATU MBARONI TABORA KWA KUJITEKA WAPATE PESA KWA NDUGU
Na mwandishi wetu, Tabora Jeshi la Polisi Mkoani Tabora limetangaza kuwashikilia watu watatu kwa tuhuma za kutoa Taarifa za Uongo kuwa wamet...
ZAMA MPYA! WIZARA YA VIJANA KIPAUMBELE CHA KIZAZI KIPYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Novemba 18, 2025, ameapisha Baraza jipya la Mawaziri lenye Wizara 27....
VURUGU ZINATESA: WAFANYABIASHARA WASEMA OKTOBA 29 NI FUNZO
Wito wa kulinda amani na utulivu umeendelea kutolewa nchini, huku wananchi wakielezea namna matukio ya vurugu yanavyoathiri maisha yao, na k...
TUKUNJUE MIOYO, TUKA’E CHINI!” ASKOFU MPEMBWA ATOA WITO
Viongozi wa dini wameingilia kati kutoa wito wa maridhiano na amani, wakisisitiza kuwa mvutano wowote ule unaoendelea nchini unapaswa kukome...
BODABODA PWANI WAKEMEA MAANDALIZI YA VURUGU
Chama cha Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) mkoa wa Pwani kimetangaza rasmi kwamba hawatahusika na aina yoyote ya vurugu, uchochezi, au maanda...
Monday, 17 November 2025
UCHAMBUZI WA TUKIO LA KUKAMATWA MWANAJESHI MWENYE MABOMU NA MAANDAMANO
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tarime Rorya limethibitisha kumkamata raia mwenye uraia pacha wa Marekani na Kenya anayedaiwa kuwa mwanajeshi wa Jes...
RAIS SAMIA ATANGAZA BARAZA LA MAWAZIRI, HAYA HAPA MAJINA YA WIZARA 27
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza Baraza la Mawaziri
TUMUUNGE MKONO RAIS KATIKA KUREJESHA AMANI NA UTULIVU
Baada ya uchaguzi mkuu kufanyika na viongozi kuchaguliwa kihalali, Tanzania inajikuta katika kipindi muhimu cha mtihani wa amani, utulivu, n...
SAUTI YA MWANANCHI: TAIFA LINATAKA AMANI, SIO VURUGU ZA MITANDAONI
Sauti ya wananchi nchini imekuwa wazi na yenye nguvu, ikituma ujumbe mmoja wa kitaifa: Amani na Utulivu ndio msingi wa maendeleo. Baada ya ...
INTERNATIONAL INCIDENT AT SIRARI BORDER: U.S. ARMY SERGEANT ARRESTED WITH HAND GRENADES
SIRARI, TANZANIA – November 17, 2025 – An international incident unfolded at the Kenya–Tanzania border crossing at Sirari on Sunday, Novembe...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.