SERIKALI YA MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN YAENDELEA KUWATAMBUA, KUWATHAMINI NA KUWAHESHIMU WAZEE – RC MACHA
#Shinyanga_RS Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi Macha, amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia ...