RC MACHA AONGOZA KIKAO KAZI NA VIONGOZI WA SERIKALI MKOA WA SHINYANGA KUBORESHA UTENDAJI, ATOA MAAGIZO KILA SEKTA
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Anamringi Macha, akizungumza leo Alhamisi Januari 9, 2025, wakati akifungua kikao kazi kilichoshirikisha W...