ACHENI KUVAMIA MAENEO YA HIFADHI - RAIS SAMIA NKUMBI 14:38 0 Na Happiness Shayo - Katavi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi kuacha kuvunja sheria ... Read more »
KIJIJI CHAWAKATIA BIMA YA AFYA WAKAZI WAKE WOTE NKUMBI 09:06 0 LUDEWA Wananchi 3,149 wa kijiji cha Mundindi kilichopo Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe wametengeneza historia ya kipekee baada ya Serikali ya... Read more »
NIMEFURAHI KUONA SHULE YA WASICHANA MKOA WA KIGOMA IMEPOKEA WANAFUNZI – MHE. KATIMBA NKUMBI 00:02 0 Na. James K. Mwanamyoto OR-TAMISEMI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais-TAMISEMI (Elimu) Mhe. Zainab Katimba amesema, amefurahi kuona shule mpya ya ... Read more »
MHE.MAKAMBA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA 26 WA KAMATI YA MAWAZIRI WA ASASI YA SIASA NKUMBI 19:57 0 Mhe. January Makamba (Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa 26 wa Ka... Read more »
RAIS SAMIA AWASILI MKOANI KATAVI KWA ZIARA YA KIKAZI NKUMBI 19:32 0 Matukio mbalimbali katika picha kutoka Uwanja wa Ndege wa Mpanda mkoani Katavi ambapo Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Viongozi wa Ser... Read more »
WAZIRI MKUU AKAGUA UJENZI WA MNARA WA MASHUJAA, DODOMA NKUMBI 19:07 0 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 12, 2024 amekagua ujenzi wa Mnara wa Mashujaa uliopo mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma ikiwa ni ... Read more »
MWENGE WATUA MANYARA, UTATEMBELEA MIRADI 57 YA THAMANI YA SH. BIL.149.5 NKUMBI 18:57 0 Na Mary Margwe, Hanang Mwenge wa uhuru umetua Mkoa wa Manyara ukitokea Mkoa wa Singida, ukiwa katika Mkoa Manyara utatembelea jumla ya mirad... Read more »
JAPAN YAONGEZA SH. BILIONI 8.9 UKARABATI WA BANDARI YA KIGOMA NKUMBI 22:33 0 Tanzania imepokea msaada wa nyongeza wa Yen za Japan milioni 548 sawa na shilingi bilioni 8.9 kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa ukarabati... Read more »
WANANCHI MKALAMA WAHIMIZWA KUJITOKEZA KWA WINGI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NKUMBI 21:48 0 Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa, Ndugu Godfrey Mzava amewataka wananchi wilayani Mkalama kujitokeza kwa wingi kushiriki uchagu... Read more »