Post Top Ad
Tuesday, 28 May 2024
Monday, 27 May 2024
MWANAUME AFARIKI AKIDAIWA KUNYWA POMBE KALI AINA YA GONGO
Na Mapuli Kitina Misalaba Mwanaume mmoja anayeitwa Manota Jidairifa mwenye umri wa Miaka 42 mkazi wa mtaa wa Tambukareli Manispaa ya Shinyan...
SI MAJANGA YOTE YA MOTO MAJUMBANI YANASABABISHWA NA UMEME WA TANESCO
Na Mwandishi Wetu Kamanda wa Jeshi la zima moto na Uokoaji Mkoani Geita, Kamanda Mratibu Hamis Dawa,amesema kuwa majanga mengi ya moto yan...
WATENDAJI WAHUKUMIIWA MIAKA MITATU JELA KWA KUPOKEA HONGO YA MILIONI TATU
Na Lucas Raphael,Tabora Mahakama ya Hakimu mkazi wa wilaya ya kaliua mkoani Tabora Imewahukumu kifungo cha miaka 3 mtendaji wa kijiji na mte...
SHIRIKA LA TUMAINI KWA WATOTO LAENDELEA KUTOA TUMAINI KWA SHULE WILAYANI NZEGA
Na Lucas Raphael,Tabora. Katika Kuunga mkono jitiada za serikali ,Shirika la Tumaini kwa watoto katika wilaya ya nzega mkoani Tabora limetek...
OFISI YA WAZIRI MKUU YASHIRIKI MAADHIMISHO YA KITAIFA YA ELIMU, UJUZI NA UBUNIFU TANGA
Na Mwandishi Wetu. Ofisi ya waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu imeshiriki Maadhimisho ya kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu 2024 yaliyoanza...
POLISI SHINYANGA WAKAMATA PIKIPIKI 16, DAWA ZILIZOISHA MUDA, ALIYEMTAJA MTU MCHAWI ATUPWA JELA
Na Kadama Malunde Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limefanikiwa kukamata pikipiki 16 za wizi na zisizo na kadi, viroba 25 vya madawa ya ku...
RC SIMIYU AWAONGOZA WATUMISHI ZOEZI LA UPANDAJI MITI JENGO JIPYA LA UTAWALA NYAUMATA.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Dkt.Yahaya Esmail Nawanda amewaongoza Watumishi wa Taasisi mbalimbali katika zoezi la upandaji wa Miti katika Jen...
ILI KUONDOKANA NA CHANGAMOTO YA UHAMIAJI ZINAHITAJIKA JUHUDI NA NGUVU YA PAMOJA - CHIEF CHARUMBIRA
Bengazi Rais wa Bunge la Afrika Chief Fortune Charumbira amesema Bunge hilo lina wajibu mkubwa wa kukuza na kuimarisha misingi ya haki za bi...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.