Post Top Ad
Saturday, 9 March 2024
Friday, 8 March 2024
RC MNDEME AONGOZA MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIANI SHINYANGA, ATAJA VIPAUMBELE
(HUHESO Digital Blog
17:29
0
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme amewaongoza wanawake katika Maadhimisho ya Siku Ya Wanawake Duniani Mkoa wa Shinyanga ambapo...
ARTETA KOCHA BORA FEBRUARI
(HUHESO Digital Blog
16:46
0
Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta amechaguliwa kuwa meneja bora wa Mwezi Februari 2024 wa Ligi Kuu nchini England akishinda kwa mara ya saba. A...
BASHUNGWA AWAPA TANO WATAALAMU TANROADS
(HUHESO Digital Blog
16:37
0
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameipongeza timu ya wataalam kutoka Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), kwa kufan...
DR CHRISTINA MZAVA AWATAKA WALIMU KUWA NA MALEZI BORA KWA WANAFUNZI
(HUHESO Digital Blog
16:20
0
Walimu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwalea wanafunzi katika mienendo mizuri ili kupambana na mmomonyoko wa maadili unaoendel...
AJIFUNGUA MAPACHA WATATU AOMBA MSAADA-GEITA
(HUHESO Digital Blog
14:55
0
Rebeka John (27), mkazi wa Ikurwa Wilaya ya Geita amejifungua watoto watatu njiti Machi 04, 2024 katika Kituo cha Afya Nyankumbu kilichopo M...
SERIKALI KUWAVALIA NJUGA WANACHAFUA TASINIA YA UKANDARASI
(HUHESO Digital Blog
14:25
0
Dar es Salaam. Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi Tanzania (CRB), Mhandisi Rhoben Nkori amewakemea baadhi ya Makandarasi wanaofanya k...
WANAWAKE WENYE ULEMALU WALIA NA CHANGAMOTO YA MASOKO YA BIDHAA ZAO, WAIANGUKIA UWT
(HUHESO Digital Blog
14:06
0
Wanawake wenye ulemavu wameiomba serikali kuwasaidia kutatua changamoto ya masoko ya bidhaa zao ili kuweza kujikwamua kiuchumi kutokana na k...
WATOTO 8 WAMEFARIKI NA WATU WENGINE ZAIDI YA 70 WAMELAZWA WAKIDHANIWA KULA SAMAKI ZANZIBAR
(HUHESO Digital Blog
09:59
0
Watoto wanane wamefariki dunia na watu wengine 78 wamelazwa hospitali kwa madai ya kula samaki aina ya kasa kisiwani Panza, Wilaya ya Mkoani...
Thursday, 7 March 2024
SERIKARI KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI KWA WANAWAKE KUPATA NISHATI SAFI
(HUHESO Digital Blog
20:10
0
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa safari ya matumizi ya nishati safi ya kupikia imeanza rasmi nchin...
RC MNDEME AAGIZA KILA ENEO LENYE MKUSANYIKO WA WATU KUWEKWA MAJI TIRIRIKA
(HUHESO Digital Blog
19:19
0
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Christina Mndeme akizungumza wakati akifungua kikao cha Kamati ya Ushauri Mkoa wa Shinyanga (RCC) leo Alhamis...
TAWA YAHIMIZA NIDHAMU KWA ASKARI NA MAOFISA WAKE
(HUHESO Digital Blog
19:05
0
Bodi ya wakurugenzi Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) ikiongozwa na Mwenyekiti wake Meja Jenerali (mstaafu) Hamis Semfuko ...
ALIEHAMISHA MTO APEWA SIKU SABA KUURUDISHA
(HUHESO Digital Blog
18:57
0
Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi, Jamila Yusuf ametoa siku saba kwa mwekezaji wa machimbo ya madini aina ya dhahabu ,Anseimo Mjinga, ...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.