MTAMBO WA MATIBABU WA KWANZA WAZINDULIWA MUHIMBILI (HUHESO Digital Blog 14:40 0 DAR ES SALAAM: HOSPITALI ya Taifa Muhimbili leo imezindua mtambo wa Hyperbaric Medicine unaotibu magonjwa mbalimbali kwa kutumia asilimia 10... Read more »
EU YAWEKA NGUVU MIRADI REA (HUHESO Digital Blog 16:05 0 DAR ES SALAAM: SERIKALI imepokea magari 21 kati ya 29 yenye thamani ya Sh bilioni 1.9 kutoka ufadhili wa Umoja wa Ulaya (EU) kwa ajili ya ku... Read more »
(HUHESO Digital Blog 13:53 0 Naibu wa Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) amewataka wakandarasi wa mradi wa maji wa Mugango- Kiabakari-Butiama waweze ku... Read more »
KINANA AZURU KABURI LA HAYATI RAIS MAGUFULI (HUHESO Digital Blog 13:36 0 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana akisaini kitabu cha wageni wakati alipozuru na kufa... Read more »
DKT.DUGANGE ATEMBELEA KAMBI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO HANANG’ (HUHESO Digital Blog 09:52 0 Naibu waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Dkt. Festo Dugange akiwa ameambatana na ... Read more »
MKOA WA LINDI WATOA POLE KWA WANANCHI WA HANANG’ (HUHESO Digital Blog 12:48 0 Mkuu wa Mkoa wa Lindi Zainab Telack ametembelea Kijiji cha Gendabi eneo lililoathirika na mafuriko, maporokoko ya tope na magogo Wilaya ya... Read more »
RAIS SAMIA ANOGESHA PROF JAY FOUNDATION KWA SH MIL 50. (HUHESO Digital Blog 12:20 0 DAR ES SALAAM: Rais Samia Suluhu Hassan amechangia kiasi cha Sh milioni 50 kwa Taasisi ya Profesa Jay Foundation iliyochini ya msanii, Josep... Read more »
POLISI YATOA TAHADHARI MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA. (HUHESO Digital Blog 10:28 0 Jeshi la Polisi nchini limetoa tahadhari kwa wananchi juu ya mvua zinazoendela kunyesha huku liesema linao wajibu wa kulinda maisha ya watu ... Read more »
AMSONS GROUP, CAMEL OIL NA CAMEL CEMENT WATOA MSAADA WA MILIONI 100 KWA WAATHIRIKA WA MAPOROMOKO YA ARDHI HANANG (HUHESO Digital Blog 09:18 0 Meneja Uhusianoo wa Umma wa Amsons Gruop Bhoke Rioba(kulia) akikabidhi hundi ya Sh.milioni 100 kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Ser... Read more »
'ALIYEKATAA UTEUZI' ASIMAMISHWA KAZI (HUHESO Digital Blog 10:31 0 DAR ES SALAAM: Tume ya Utumishi ya Walimu (TSC) imemsimamisha kazi aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Mwalimu Mag... Read more »
RAIS WA ZAMANI JELA MIAKA MITANO (HUHESO Digital Blog 10:42 0 RAIS wa zamani wa Mauritania, Mohamed Ould Abdel Aziz amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la utakatishaji fedha kipindi cha u... Read more »
KIPINDUPINDU CHAUWA WANNE (HUHESO Digital Blog 09:07 0 WATU wanne wamefariki kutokana na ugonjwa wa kipindupindu katika kijiji cha Buchurago kata ya Bugorora wilayani Missenyi mkoani Kagera huku ... Read more »
MAGAZETI YA LEO DESEMBA 5,2023 (HUHESO Digital Blog 07:01 0 Pitia Kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya leo tarehe 5 Desemba 2023 Read more »
WACHIMBAJI MGODINI HAWAJAONEKANA (HUHESO Digital Blog 12:46 0 MAOFISA nchini Zambia wameshindwa kupata makumi ya wachimbaji haramu wanaoaminika kunaswa baada ya maporomoko ya udongo kwenye mgodi wa shab... Read more »
BREAKING; WAZIRI MKUU MSTAAFU AFARIKI (HUHESO Digital Blog 12:20 0 WAZIRI Mkuu wa zamani wa Rwanda na mkosoaji mkubwa wa serikali ya Rais Paul Kagame amefariki akiwa uhamishoni nchini Ubelgiji. Ndugu walithi... Read more »