Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 19, 2025 amewasili kwenye uwanja wa ndege wa Mtwara akiwa njiani kuelekea mkoani Lindi kwa ajili ya Ziara ya Kikazi.
Mheshimiwa Dkt. Mwigulu leo anategemea kukagua Maendeleo ya Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa pamoja na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Madaraja na Ukarabati wa barabara Kuu ya Marendego-Nangurukuru-Lindi-Mingoyo




No comments:
Post a Comment