HAYA HAPA MAJINA YA WAGOMBEA WA UMEYA NA UENYEKITI HALMASHAURI– MKOA WA SHINYANGA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Sunday, 30 November 2025

HAYA HAPA MAJINA YA WAGOMBEA WA UMEYA NA UENYEKITI HALMASHAURI– MKOA WA SHINYANGA


UMOJA WA VIJANA CCM – MKOA WA SHINYANGA

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU WAGOMBEA WA CCM WA NAFASI ZA MAMEYA NA WENYEVITI WA HALMASHAURI ZA WILAYA




Tarehe: 30 Novemba 2025

Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Shinyanga unawataarifu wanachama, wadau na wananchi wote kuwa Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Ndugu Kenan Laban Kihongosi, ametangaza rasmi majina ya wagombea wa CCM waliopitishwa kuwania nafasi za Mameya wa Majiji na Manispaa, pamoja na Wenyeviti wa Halmashauri za Wilaya kwa Mkoa wa Shinyanga.



Uteuzi huu umetokana na Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika Zanzibar tarehe 29 Novemba 2025, chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

---

MANISPA ya Shinyanga

1. Reuben Nonga KITINYA

2. Salum Shaban KITUMBO

3. Ezekiel John SABO




Manispaa ya Kahama

1. Mataluma Kanuda KANIKI

2. Yahya Ramadhan BUNDALA

3. Abelo Juma MABAO

---

2. HALMASHAURI ZA WILAYA

Wilaya ya Shinyanga Vijijini

1. Seth Anthony MSANGWA

2. Jumanne Rajabu ITUNGU

3. Lydia Winga PIUS




Wilaya ya Msalala

1. Mibako Lugalila MABUBU

2. John Mtwana MAHONA




Wilaya ya Ushetu

1. Gagi Lala GAGI




Wilaya ya Kishapu

1. Hamza Yusuph TANDIKO

2. Josephat Limbe EMMANUEL




Umoja wa Vijana CCM Mkoa wa Shinyanga chini ya Mwenyekiti wake Benard Benson Werema unawaomba wananchi wote kuendelea: Kushirikiana kwa dhati na wagombea wetu, Kuunga mkono maamuzi ya Chama, Kushiriki kikamilifu katika michakato ya uchaguzi,

Ili kwa pamoja tuhakikishe kuwa maendeleo ya Mkoa wa Shinyanga yanaendelea kwa kasi, usawa na amani.

Imetolewa na;

Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi

Umoja wa Vijana CCM – Mkoa wa Shinyanga

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso