“Tunakuchagua kwa sababu tunajua imani yetu, Matarajio yetu na uhakika wa Maisha yetu uko mikononi mwako Mgombea wa Urais kupitia CCM, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan”. amesema Dkt. Biteko
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. Doto Mashaka Biteko ameyasema hayo Oktoba 13, 2025 mbele ya Mgombea Urais kupitia CCM, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mkutano wake wa Kampeni uliofanyika Wilaya ya Chato, ikiwa ni sehemu ya Kampeni zake Mkoani Geita.
No comments:
Post a Comment