MKATABA WA YANGA NA NBC KUWANUFAISHA WANACHAMA - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Monday 15 April 2024

MKATABA WA YANGA NA NBC KUWANUFAISHA WANACHAMA


"Siku ya leo ni siku kubwa na ya kihistoria katika soka letu la Tanzania, benki ya NBC TANZANIA ndio Benki kongwe nchini na Kadi hii ya Young Africans SC ndio inaenda kuwa Kadi yenye faida nyingi zaidi zinazoweza kutumika kwa Wanachama ndani ya nchi na kote duniani"


"Kadi Bingwa ya Uanachama imeunganishwa na Visa Card, N Cards, huduma bora za benki yetu ya NBC pamoja na huduma za kidigitali.

Na Kadi hii itapatikana kwenye matawi yote ya Benki ya NBC na kwa Mawakala wote nchi nzima" Mkurugenzi wa Biashara Benki ya NBC Bw. Elvis Ndunguru

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso