Post Top Ad
Sunday, 8 March 2026
Saturday, 7 March 2026
MWANAMKE NDIYE MLEZI WA MAADILI KATIKA JAMII – AFISA UTAMADUNI KAHAMA
Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Kahama, Martha Kapela akizungumza na wanawake juu ya majukumu ya wanawake katika malezi, elimu ya maadili, n...
MHE.SALOME AIBANA KAMPUNI YA DONGFANG KWA KASI ISIYORIDHISHA MRADI WA UMEME MALAGARASI*
* 📌*Atoa maelekezo mahsusi kwa Mkandarasi na Wasimamizi wa mradi* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.Salome Makamba leo amekagua utekelezaji wa m...
VIJANA WAZIDI KUKWEA KATIKA DIPLOMASIA YA TANZANIA, DIANA CHANDO KUONGOZA AGENDA YA AMANI
Uteuzi wa vijana wa Kitanzania katika nafasi za juu za kimataifa umezidi kushika kasi baada ya Diana Chando kuteuliwa kuwa Mkuu wa Utawala, ...
TANZANIA YAINGIA KWENYE RAMANI YA DUNIA: MAGARI YA UMEME NA MAPINDUZI YA VIWANDA
Tanzania imepiga hatua nyingine kubwa katika nyanja ya ubunifu na uwekezaji kufuatia tangazo la kampuni ya DOW ELEF AUTO EV (ZERA) Limited k...
SERIKALI YAHIMIZA USIKILIZWAJI WA KERO KAMA MSINGI WA MAENDELEO ENDELEVU
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza dhamira yake ya kuwa karibu na wananchi kwa kuhakikisha kuwa kero zote zinazowakabi...
MAPINDUZI YA UJUZI: VIJANA WAIPONGEZA SERIKALI, WAOMBA MITAJI KUKAMILISHA NDOTO ZA KUJIAJIRI
Programu ya Taifa ya Kukuza Ujuzi (National Skills Development Programme) inayotekelezwa na Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Mah...
Friday, 6 March 2026
UMEME WA GRIDI KIGOMA UMEOKOA BILIONI 58 ZA MAFUTA NA MATENGENEZO –MHE. SALOME
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amelipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kusimamia na kukamilisha mradi wa kupele...
MHE. DEUS SANGU ASHIRIKI SHUGHULI ZA UVUVI KIRUMBA KATIKA MUENDELEZO WA UTOAJI ELIMU YA SKIMU YA HIFADHI
*Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Aeleza Mafao na Faida za Skimu ya Hifadhi Na MWANDISHI WETU, Mwanza. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, A...
SERIKALI YAFUNGUA MILANGO YA UTAJIRI KWA VIJANA: VIFARANGA MILIONI 10 KUZALISHWA KILA MWEZI
KATIKA mkakati kabambe wa kutatua changamoto ya ajira na kukuza uchumi wa buluu, Serikali imetangaza mpango mkakati wa kuongeza uzalishaji w...
AFCON 2027: ULINZI NI CHUMA, AMANI YETU NDIO FURSA KWA VIJANA!
WAKATI hamu ya michuano ya AFCON 2027 ikizidi kupanda, Serikali imetuma ujumbe mzito: "Tanzania ni salama na ulinzi ni chuma!"
UTULIVU WA MKUNA NAZI WA ZANZIBAR SOMO KWA VIJANA
KATIKA viunga vya Soko la Kibanda Maiti, kishindo cha mashine inayozunguka kwa kasi sasa kimekuwa wimbo wa matumaini kwa Ramtula Makame.
ACHENI HEKAHEKA ZA MTANDAONI ZENYE NIA OVU, CHANGAMKIENI FURSA
WAKATI baadhi ya vijana wakipoteza muda mwingi mitandaoni kukuza chuki, kulalamika na kushusha hadhi ya nafsi zao, Serikali imewapigia kipye...
RIDHIWANI KIKWETE: TUMIENI MFUNGO KULIOMBEA TAIFA AMANI
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amewataka wadau wa sekta ya bima na Watan...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.