RAIS SAMIA: RARUENI MIOYO YENU, MSUJUDU KWA SHUKRAN NKUMBI 20:00 0 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa wito mzito kwa waumini wa dini za Kikristo na Kiislamu ... Read more »
CCT YAUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KUJENGA MAHUSIANO NKUMBI 19:55 0 Na. OWM- KAM, Dar es Salaam Jumuiya ya Kikristu Tanzania (CCT) imepongeza jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita katika kukuza ari ya Mahusia... Read more »
VIJANA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA TISEZA, WAACHE CHUKI MITANDAONI NKUMBI 19:50 0 Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imetoa wito kwa vijana nchini kuacha kupoteza muda kwenye mitandao ya ki... Read more »
MIKONONI SALAMA: eGA KUSHIKILIA USUKANI WA KIDIJITALI, WANANCHI WAHIMIZA AMANI NKUMBI 19:46 0 SERIKALI imetangaza mkakati mzito wa kuhakikisha huduma zote za umma zinahamia katika mifumo ya kidijitali iliyo salama na jumuishi, lengo... Read more »
SAMIA HAJARIBIWI: MWIGULU ACHANGISHA WATENDAJI PAPO HAPO KULIPA MKANDARASI NKUMBI 19:39 0 SERIKALI ya Awamu ya Sita, chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, imetuma salamu nzito kwa watendaji wa umma wanaozembea kutoa haki za wananchi ... Read more »
MAKAMU MWENYEKITI INEC NA WAJUMBE WA TUME WAMTEMBELEA RC SONGWE NKUMBI 17:25 0 Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani (Mst) Mbarouk Salim Mbarouk leo Februari 19, 2026 akiwa na Mjumbe... Read more »
NSSF YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA NA KUPOKEA TUZO KWA UZINGATIAJI WA SHERIA YA SERIKALI MTANDAO, VIWANGO NA MIONGOZO NKUMBI 17:16 0 Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeibuka mshindi wa kwanza na kutunukiwa tuzo kwa Taasisi zilizofanya vizuri katika uzingatiaji ... Read more »
SERIKALI YATOA FURSA KWA WASANII KAHAMA KUPITIA MIKOPO YA UTAMADUNI NA SANAA NKUMBI 11:21 0 Na Neema Nkumbi, Kahama Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni tano kupitia Mfuko wa Utamaduni na Sanaa kwa ajili ya kuwakopesha wasan... Read more »
WANAOSHAWISHI KUIVURUGA TANZANIA NI WAPUUZI,SISI TUNAHESHIMIKA KIBINGWA NKUMBI 21:38 0 Wakati baadhi ya wapotosha wakiendelea kutumia mitandao ya kijamii kubeza juhudi za maendeleo, ukweli wa mambo umezidi kudhihirika baada ya ... Read more »
VIJANA WAHIMIZWA KUCHANGAMKIA FURSA YA UANDISHI BUNIFU KUJITENGENEZEA AJIRA NA KUKUZA MAARIFA YA TAIFA NKUMBI 21:29 0 Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, ametoa wito kwa waandishi nchini, hususan vijana, kuchangamkia fursa ya uandis... Read more »
AMANI NA UTULIVU NDIO NGUZO KUU YA MAENDELEO YA TANZANIA NKUMBI 21:26 0 Mdau wa maendeleo nchini, Isamilo Zephaniah, ametoa rai kwa Watanzania kutambua kuwa amani na utulivu ndio msingi mkuu wa maendeleo ya taifa... Read more »
WAZIRI SANGU AVITAKA VYAMA VYA WAFANYAKAZI KUACHA MIGOGORO KUFANIKISHA AJIRA NKUMBI 21:23 0 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, amevitaka vyama vya wafanyakazi, waajiri pamoja na mashirikisho... Read more »
DARASA LA UTAJIRI: BIDHAA TANO ZA VIJANA WA KITANZANIA KUPELEKA SOKO LA CHINA NKUMBI 21:20 0 Wakati Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China ikitangaza rasmi sera ya ushuru sifuri kwa bidhaa kutoka Tanzania na nchi nyingine 52 za Afrika,... Read more »