UVAMIZI VENEZUELA NI KITU CHA KUHOJI NKUMBI 15:15 0 KATIKA kile kinachoonekana kama mtihani mzito kwa Mkataba wa Umoja wa Mataifa (UN) na uhuru wa mataifa madogo duniani, mtaalamu wa masuala... Read more »
AMANI NA SIASA ZA MARIDHIANO NDIO MIZANI YA UZALENDO 2026 NKUMBI 15:14 0 Mwaka 2026 umeanza kwa kishindo, huku sauti za Watanzania wa kada mbalimbali zikijielekeza katika jambo moja kuu, Amani kama mhimili wa ma... Read more »
KUHARIBU MIUNDOMBINU NI KUJIPIGA NGUMI KWENYE UKUTA NKUMBI 15:13 0 Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amewatahadharisha Watanzania kuacha kutumiwa na watu wenye nia ovu kuhujumu uchumi wa nchi kwa kuharibu ... Read more »
SERIKALI YAPELEKA 'MAMA SAMIA LEGAL AID' WILAYANI KUIMARISHA AMANI NKUMBI 15:11 0 SERIKALI ya Awamu ya Sita imetangaza mkakati mpya wa kuimarisha haki na amani nchini kwa kuipanua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Samia h... Read more »
ARUSHA YAIKALISHA DUNIA: CNN YAITAJA KUWA YA KWANZA KIUTALII 2026 NKUMBI 15:11 0 JIJI la Arusha, ambalo ni kitovu cha utalii nchini Tanzania, limepata shavu jingine la kimataifa baada ya Kituo cha Habari cha CNN (CNN Tr... Read more »
TUME YA UCHUNGUZI WA VURUGU ZA UCHAGUZI YATEMBELEA GEREZA KUU ARUSHA, YAZUNGUMZA NA MAHABUSU NKUMBI 19:22 0 Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, imetembelea Gereza Kuu la ... Read more »
KUMEKUCHA KWA WAKATOLIKI: Askofu Ruwa'ichi , Padri Kitima wanyooshewa vidole NKUMBI 09:21 0 HALI ya taharuki imetanda ndani ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania baada ya kundi la waumini zaidi ya 100, wanaopambanuliwa kama wenye ... Read more »
KUCHOCHEA MATAIFA YA NJE KUIVAMIA TANZANIA NI UVIVU WA KUFIKIRI NA UHAINI NKUMBI 09:20 0 Kuchochea mataifa ya nje kuivamia Tanzania ni Uvivu wa Kufikiri na Uhaini Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na wimbi la upotoshaji li... Read more »
MAMA MARIA NYERERE AFUNGUKA, ATOA FALSAFA YA UJENZI WA TAIFA NKUMBI 09:16 0 MAMA wa Taifa, Maria Nyerere, ametoa wito mzito kwa Watanzania kudumisha mshikamano na kutumia mazungumzo kama njia pekee ya kuvuka changa... Read more »
UWEKEZAJI VYUO VYA KATI WAIBUA TEKNOLOJIA MPYA: MTAMBO WA DHAHABU WAZINDULIWA NKUMBI 09:14 0 MATUNDA ya uwekezaji wa Serikali ya Awamu ya Sita katika kuimarisha elimu ya ufundi na vyuo vya kati yameanza kuonekana dhahiri, baada ya ... Read more »
KUKOSOA NI RAHISI, KUBENA MZIGO WA WATU MILIONI 60 NI KAZI NYINGINE NKUMBI 09:04 0 Kukosoa ni rahisi, kubeba mzigo wa watu milioni 60 ni kazi nyingine KATIKA hali inayozidi kuonyesha tofauti za kimtazamo kati ya wazalendo... Read more »
AZZA HILLAL AANZA RASMI KAZI ZA UBUNGE ITWANGI, AFANYA SHEREHE MAALUM YA UFAULU WA MIAKA 9 MASUNULA NKUMBI 22:52 0 Mbunge wa Jimbo la Itwangi, Mhe. Azza Hillal Hamad akila chakula cha pamoja na wananchi Jimbo la Itwangi - Picha na Kadama Malunde - Malunde... Read more »