MAREKEBISHO MAKUBWA SEKTA YA AFYA: SERIKALI SASA YAWEKEZA KWENYE HUDUMA, TEKNOLOJIA NKUMBI 23:29 0 Serikali ya Awamu ya Sita imetangaza mwelekeo mpya wa utendaji katika sekta ya afya nchini, ikihama rasmi kutoka katika sifa ya ujenzi wa mi... Read more »
SIMULIZI LA MWEMBE WA MATUMAINI: MAMA SAMIA AFUNGUA UKURASA MPYA WA KIJANI TANZANIA NKUMBI 11:54 0 Katika kuadhimisha miaka 66 ya maisha yenye tija na uongozi uliotukuka, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hass... Read more »
VETA INAPOWAJENGEA VIJANA "JICHO LA BIASHARA" NKUMBI 11:49 0 Katika ulimwengu wa sasa wa ushindani wa kibiashara, kumpa kijana ujuzi wa kutengeneza samani au kushona nguo bila kumfundisha jinsi ya kuis... Read more »
MARA YAWA KITOVU KIPYA MAGEUZI YA UCHUMI NKUMBI 11:45 0 Mkoa wa Mara umetajwa kuwa kitovu kipya cha mageuzi ya kiuchumi nchini kufuatia mwitikio mkubwa wa wawekezaji wa ndani waliojitokeza kuchang... Read more »
SABABU ZA TABASAMU: JINSI SERIKALI ILIVYOMFUNGULIA MILANGO MWANANCHI MDOGO NDANI YA SIKU 100 NKUMBI 11:33 0 Katika kuta za kumbi za mikutano jijini Dodoma, kumesikika mwangwi wa matumaini kwa mjasiriamali mdogo aliyepo sokoni, kijana anayeshinda ju... Read more »
SABABU ZA TABASAMU: JINSI SERIKALI ILIVYOMFUNGULIA MILANGO MWANANCHI MDOGO NDANI YA SIKU 100 NKUMBI 08:21 0 Katika kuta za kumbi za mikutano jijini Dodoma, kumesikika mwangwi wa matumaini kwa mjasiriamali mdogo aliyepo sokoni, kijana anayeshinda ... Read more »
WATENDAJI WA UCHAGUZI WATAKIWA KUTEKELEZA MAJUKUMU KWA WELEDI NKUMBI 13:48 0 Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk akizungumza leo tarehe 26 Januari, 2... Read more »
KIZAAZAA CHA WAANDISHI ELIMU YA KUSHUGHULIKIA WAATHIRIKA WA MAJANGA NKUMBI 09:20 0 Tukio la hivi karibuni mkoani Dar es Salaam, ambapo Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani, Jaji Mkuu Mstaafu Pro... Read more »
USILALAMIKE HUNA AJIRA! ANNA LUNGUAYA AFICHUA SIRI YA KUTOKA KIMAISHA KUPITIA UBUNIFU WA MAVAZI NKUMBI 09:00 0 Ushuhuda wa Anna Lunguaya, ambaye ni Mkurugenzi wa Anna Fashion Academy, ni shule tosha kwa kijana yeyote mwenye maono makubwa lakini anay... Read more »
CHUMA CHA NDANI KWA MAENDELEO YA NDANI: VIJANA WACHANGAMKIE KUJIFUNZA UFUNDI NA TEKNOLOJIA NKUMBI 08:55 0 Ziara ya Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga, katika kiwanda cha chuma cha Kamal eneo la TAZARA, imetoa ujumbe kuhusu mwele... Read more »
JINSI MSAMAHA WA KODI KWA ASILIMIA 100 UNAVYOWEZA KUFUTA KISINGIZIO CHA 'HAKUNA AJIRA' NKUMBI 08:51 0 Ujumbe wa mwekezaji Dkt. Felix Kivuyo unatoa taswira mpya kwa vijana wa Kitanzania ambao mara nyingi hujikuta wakikwama kwa kisingizio cha... Read more »
TANZANIA ITAJENGWA NA WATANZANIA: WAZIRI SANGU AWAGUSA DIASPORA SAUDI ARABIA, AWAHIMIZA KULETA MITAJI NYUMBANI NKUMBI 08:40 0 Kauli mbiu ya Tanzania itajengwa na Watanzania wenyewe imechukua sura mpya na ya kipekee nchini Saudi Arabia baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ... Read more »
SERIKALI YAONGEZA UAMINIFU KWA WAKANDARASI WAZAWA, TENDA ZAFIKIA SHILINGI BILIONI 50 NKUMBI 21:02 0 Mwonekano wa madaraja yaliyojengwa na wakandarasi wazawa katika Halmashauri ya Ushetu Wilayani Kahama Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godf... Read more »
ELIMU YA MAJANGA YAPUNGUZA MATUKIO YA MOTO KAHAMA NKUMBI 12:41 0 Na Neema Nkumbi Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilayani Kahama mkoani Shinyanga limesema kuwa utoaji wa elimu ya majanga mbalimbali ikiwemo ... Read more »
SERIKALI KULA SAHANI MOJA NA ‘WAKATA VIDEO’ WA MITANDAONI WANAOCHOCHEA MPASUKO NKUMBI 10:51 0 Serikali imetoa onyo kali dhidi ya kundi la watu wanaotumia vibaya teknolojia kwa kukata na kusambaza vipande vya video (clips) kwenye mitan... Read more »