TANZANIA NA MAREKANI ZASONGA MBELE KUKAMILISHA MAKUBALIANO MAKUBWA YA UWEKEZAJI NKUMBI 18:19 0 Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo amefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tan... Read more »
TANZANIA AND U.S. MOVE TO FINALISE MAJOR INVESTMENT AGREEMENTS NKUMBI 18:16 0 Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan, President of the United Republic of Tanzania, today held talks with the Acting United States Ambass... Read more »
TAHLISO YAJITOA, YASEMA AMANI NI MSINGI WA USTAWI WA KITAIFA NKUMBI 16:44 0 Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu na Vyuo Vikuu nchini Tanzania (TAHLISO) imesisitiza msimamo wake thabiti wa kutoshiriki wala kuunga mko... Read more »
UMOJA WA KITAIFA KUPINGA MIITO YA MAANDAMANO HARAMU NKUMBI 16:40 0 Katikati ya miito inayoendelea ya 'maandamano yasiyo na ukomo' yanayoratibiwa na wachochezi, viongozi wakuu wa taasisi za dini, jumu... Read more »
TUSIRUDI NYUMA TENA: KULINDA AMANI NDIO MSINGI WA DIRA YA TAIFA YA 2050 NKUMBI 08:55 0 Kulinda Amani Ndio Msingi wa Dira ya Taifa ya 2050 Picha za CCTV na kumbukumbu za vurugu zilizotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2... Read more »
VIJANA TUKATAE KUGAWANYWA: MAANDAMANO NI ADUI WA MAISHA UA MNYONGE NKUMBI 08:47 0 Vijana tukatae kugawanywa: Maandamano ni adui wa maisha ya mnyonge Katika mwendelezo wa wito wa kudumisha amani na utulivu baada ya Uchaguzi... Read more »
KATAA MAANDAMANO YA DESEMBA 9,AMANI NA UTULIVU NDIO NGUZO KUU YA TAIFA NKUMBI 08:38 0 Kataa Maandamano ya Desemba 9, Amani na Utulivu Ndio Nguzo Kuu ya Taifa Kutokana na wito wa baadhi ya wachochezi wa kisiasa kuitisha maandam... Read more »
NIFFER AHIMIZA VIJANA KUJICHUNGA NKUMBI 08:20 0 Niffer Ahimiza Vijana Kujichunga Katika hatua inayoungana na wito wa amani, mfanyabiashara wa mitandaoni, Jennifer Jovin (Niffer), ambaye hi... Read more »
VIJANA, SERIKALI IMEJIPANGA:KATAA KUCHOMWA NA MITANDAO NKUMBI 08:15 0 Vijana, Serikali Imejipanga: Kataa kuchomwa na mitandao Serikali imetoa wito mzito kwa vijana kote nchini kutumia fursa za kimkakati za Tekn... Read more »
SERIKALI YA TANZANIA YASHIKILIA MSIMAMO: UTAWALA WA SHERIA NA HAKI YA KUJITATHMINI KATIKA MASUALA YA NDANI NKUMBI 12:21 0 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa ufafanuzi thabiti kuhusu misimamo mbalimbali na matamko yaliyotolewa na jumuiya za kimata... Read more »
UHAI WA TAIFA: VITA MPYA DHIDI YA UKOLONI WA KISAIKOLOJIA NA MASHARTI YA MISAADA NKUMBI 12:04 0 UHAI WA TAIFA: VITA MPYA DHIDI YA UKOLONI WA KISAIKOLOJIA NA MASHARTI YA MISAADA Tanzania imejikuta katikati ya vuta-nikuvute ya kidiplomasi... Read more »
JICHUNGUZE, TAIFA KWANZA: AMANI SIYO MANENO NI KAZI — POLISI YAWATAHADHARISHA VIJANA, YAONYA MIPANGO YA VURUGU YA ‘MAANDAMANO YA KUFUNGA NCHI’ NKUMBI 11:58 0 Jeshi la Polisi nchini limetoa onyo kali na la wazi kwa wale wote wanaotumia mitandao ya kijamii kuhamasisha vurugu na uharibifu kwa kisingi... Read more »
META YAFUNGA ‘VIWANDA VYA CHUKI’: UAMUZI MKABAMBE WA KULINDA AMANI YA TAIFA NKUMBI 11:40 0 Dar es Salaam. Amani siyo maneno ni kazi. Vijana tukisimama pamoja, Tanzania inang'aa zaidi! Kaulimbiu hii imepata nguvu mpya baada ya K... Read more »
MAFUNZO YA KITAIFA JIJINI ARUSHA YADHIHIRISHA DHAMIRA YA TAEC YA USALAMA WA MIONZI NA ULINZI WA UMMA NKUMBI 19:45 0 Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania (TAEC) imefanikisha kuendesha mafunzo ya kitaifa ya siku nne kuhusu usalama wa mionzi ya mashine za X-Ray na... Read more »