MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA TATU WA UMOJA WA MATAIFA KUHUSU BAHARI JIJINI NICE, UFARANSA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa Tatu wa Umoja wa Mataifa kuhusu ...