HERI YA SIKU YA WAALIMU BUKOMBE - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Friday, 3 October 2025

HERI YA SIKU YA WAALIMU BUKOMBE



Leo kutoka hapa Bukombe yanafanyika maadhimisho ya siku ya mwalimu duniani kwa wilaya ya Bukombe ikiwa ni msimu wa sita toka kuanzishwa kwa maadhimisho haya hapa Bukombe.


Mgombea ubunge wa Jimbo la Bukombe na Naibu Waziri Mkuu Dkt. Dotto Biteko atakuwepo na mgeni rasmi ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Kassim.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso