NAFASI ZA KAZI 5 - BARAZA LA KISWAHILI (BAKITA) - HUHESO DIGITAL BLOG

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 14 June 2022

NAFASI ZA KAZI 5 - BARAZA LA KISWAHILI (BAKITA)

 


TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 

Kwa niaba ya Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) na Wakala wa Chuo ch Taifa cha Utalii (NCT), Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi Wa Umma anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi tano (5) kama zilivyoainishwa katika tangazo hili. 


BARAZA LA KISWAHILI LA TAIFA (BAKITA) Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) ni Taasisi ya Umma ambayo iko chini ya Wizara yenye dhamana ya utamaduni. Baraza liliundwa kwa Sheria ya Bunge Na. 27 ya mwaka 1967 na marekebisho yake. Kutokana na Sheria hii Baraza ndilo Wakala wa Serikali lenye mamlaka ya kusimamia na kuratibu shughuli za wadau wote wanaokuza Kiswahili katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Aidha, Baraza ni mdau muhimu wa maendeleo ya Kiswahili kimataifa. 

FUNGUA TANGAZO LA KAZI HAPA CHINI

FUNGUA PDF

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Pages

Huheso