Post Top Ad
Wednesday, 17 June 2026
Tuesday, 16 June 2026
WAITARA: WANAOLETA TAHARUKI WASHUGHULIKIWE
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara, ameweka msimamo mkali Bungeni jijini Dodoma akiwataka viongozi wanaotoa matamko yanayozua taharuki...
UCHOCHEZI HAUNA NAFASI, WATANZANIA WAJITAMBUE
Umoja wa Waendesha Magari ya Biashara (Kirikuu) wa Manzese, Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam, umewataka Watanzania kuendelea kudumisha ...
TUWAKATAE KWA NGUVU ZOTE WACHOCHEZI WANAOTAKA kUTURUDISHA OKTOBER 29
Na. Mwandishi wetu, KAGERA Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amewataka vijana ku...
Monday, 15 June 2026
HASSANI MSUMARI AONYA VIASHIRIA VYA UVUNJIFU WA AMANI
Katibu Mkuu wa Chama cha Muziki wa Rhumba Tanzania, Hassan Msumari, ametoa mwito kwa jamii akieleza kuwa itakuwa ni aibu kubwa kwa kizazi ch...
DC MPOGOLO ATAKA KUDUMISHWA AMANI KWA MAENDELEO
MKUU wa Wilaya ya Ilala,Mhe Edward Mpogolo, amewataka wakazi wa Dar es Salaam kuendelea kulinda na kudumisha amani, umoja na mshikamano pamo...
Sunday, 14 June 2026
UTEKELEZAJI WA MKAKATI ENDELEVU WA BARRICK WAZIDI KUNUFAISHA WATANZANIA
Baadhi ya wafanyabiashara wa Tarime waliopata mafunzo kupitia programu ya Local Business Development Program ya Barrick ambayo inazidi kufun...
WANANCHI MSIKUBALI MANENO YA USHAWISHI; WAKOMALIENI WACHOCHEZI
Wananchi na vijana kote nchini wanahimizwa kuwa macho na kutokubali kabisa kuyasikiliza maneno ya ushawishi yanayohubiri chuki na uharibifu....
JINSI SERIKALI INAVYOMWAGA MITAJI, KUPIGA JEKI AJIRA ZA VIJANA NA KUZIKA VURUGU
KATIKA mazingira ya sasa ya kiuchumi duniani, silaha kubwa ya kupambana na ukosefu wa ajira kwa vijana siyo maneno matupu ya kisiasa au ahad...
KUICHAFUA TANZANIA KUNAUMIZA VIZAZI VIJAVYO
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Mkoa wa Mbeya, Ndele Mwaselela, amesema vitendo vya kueneza taarifa zinazolenga kuichafua Tanzania vi...
MACHIFU WATUMA UJUMBE WA AMANI
Machifu kutoka maeneo mbalimbali nchini wamewahimiza Watanzania kuendelea kudumisha maridhiano, mshikamano na amani kama msingi wa ustawi wa...
Saturday, 13 June 2026
ZIARA YA RAIS SAMIA NCHINI URUSI YAWAACHA WANAFUNZI WA KITANZANIA WAKIJIVUNIA DIPLOMASIA YA JUU NA FURSA ZA KITEKNOLOJIA
Na Beda Msimbe, TBN, aliyekuwa Petersburg, Urusi - Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi im...
MAISHA YA URUSI NI 'SHEGA' UKIWA NA NYARAKA SAHIHI: WATANZANIA WAFUNGUKA FURSA, CHANGAMOTO ZA VIKWAZO NA UMUHIMU WA LUGHA
Maisha ya Urusi ni 'Shega' Ukiwa na Nyaraka Sahihi: Watanzania Wafunguka Fursa, Changamoto za Vikwazo na Umuhimu wa Lugha
SIKU SABA ZA KAZI KUJISAJILI PDPC: HATUA KALI KUANZA KUCHUKULIWA DHIDI YA WANAOKIUKA SHERIA YA TAARIFA BINAFSI
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imetangaza kuanza rasmi kwa utekelezaji wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Sura ya 44. Hatua...
MPANGO WA MATUMIZI YA ARDHI WATAMBULISHWA MSALALA, KUVIFIKIA VIJIJI TISA, WAKAZI ZAIDI YA 800
Mkuu wa Kanda ya Ziwa wa Tume ya Taifa ya Mpango wa Matumizi ya Ardhi John Chuwa, akizungumza na wajumbe wa serikali ya kijiji cha Nata, Hal...
Post Top Ad
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.