HUKUMU YA ZUMARIDI TAREHE 22 DESEMBA 2022 (HUHESO Digital Blog 23:56 0 Hatma ya Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi na wafuasi wake nane kufungwa gerezani au kuachiwa huru katika kesi ya jinai namba 10/20... Read more »
MTOTO WA MIAKA MIWILI ANUSURIKA KUBAKWA NA KIJANA WA MIAKA 21,SHINYANGA. (HUHESO Digital Blog 23:49 0 Mtoto mwenye miaka 2 (jina lake limehifadhiwa) mkazi wa Mjimwema Halmashauri ya Wilaya Kahama anusurika kubakwa na Michael Edward (21),mkazi... Read more »
AJALI YA MOTO YAUWA WATU WATATU, MAGOMI UCHUNGUZI UNAENDELEA, SHINYANGA (HUHESO Digital Blog 00:15 0 Watoto watatu wa familia moja ya Bwana Mathayo Samson wamefariki dunia baada ya ajalinya moto uliowaka katika makazi ya famikia hiyo. NA HAL... Read more »
BABA AMNAJISI MWANAE WA MIAKA 10 HOSPITALINI (HUHESO Digital Blog 16:59 0 Polisi katika Kaunti ya Kakamega wamemkamata mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 40 kwa tuhumza za kumnajisi binti yake mwenye umri wa miak... Read more »
UHABA WA KONDOMU WALETA KIZAZAA KENYA (HUHESO Digital Blog 16:47 0 Wasiwasi unashuhudiwa katika Kaunti ya Bungoma kufuatia uhaba wa mipira ya ngono - uhaba ambao umekumba kaunti hiyo ya ukanda wa Magharibi k... Read more »
HAKIMU ADAIWA KUJIUA KWA KUNYWA SUMU - SUMBAWANGA (HUHESO Digital Blog 16:38 0 Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kasanga iliyopo Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Michael Royan (31) anadaiwa kujiua kwa kunywa sumu katika nyumb... Read more »
KICHANGA CHAZIKWA KIKIWA HAI KWA LENGO LA KUPATA UTAJIRI - MAGU (HUHESO Digital Blog 16:16 0 Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Zawadi Msagaja mkazi wa Kijiji cha Mahaha wilayani Magu aliyemzika mtoto wake akiwa hai kwa kile... Read more »
POLISI WA KIKE AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI, ALIACHA UJUMBE WHATSAPP STATUS (HUHESO Digital Blog 16:17 0 Maafisa wa upelelezi katika Kaunti ya Kiambu wameanzisha uchunguzi katika kifo tatanishi cha afisa wa polisi mwanamke katika kituo cha polis... Read more »
MTOTO ANUSURIKA NA KIFO KWA KUSHAMBULIWA NA CHATU (HUHESO Digital Blog 15:48 0 Mvulana mwenye umri wa miaka mitano raia wa Australia amenusurika kifo baada ya kuumwa na chatu ambaye ppia alimburuta hadi kwenye bwawa la ... Read more »
AUAWA KWA KUCHARANGWA MAPANGA NA WATU WASIOJULIKANA AKIWA ANAKULA, KIPOLISI MSALALA,SHINYANGA (HUHESO Digital Blog 09:41 1 Mwanamke mmoja (50),Mkazi wa Kitongoji cha Mwamboku Kata ya Kashishi Wilaya ya Kipolisi Msalala Mkoani Shinyanga,Sele Luchagula,Ameuawa na ... Read more »
POLISI SHINYANGA WAKAMATA SILAHA, NA VITU VYA MAGENDO,RPC MAGOMI AWAASA WANANCHI KUFIKA KITUONI ILI KUTAMBUA BIDHAA ZAO (HUHESO Digital Blog 13:41 0 Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limekamata Bunduki za Kivita AK47 mbili, za kiraia 27(/gun 9,Riffle 5 pamoja na Gobole 15 zilizokuwa zinat... Read more »
KAKA MTU ATUHUMIWA KUMUUA MDOGO WAKE MKOANI KILIMANJARO (HUHESO Digital Blog 13:16 0 Jeshi la Polisi mkoa Kilimanjaro, linamshikilia mkazi wa kijiji cha Kilema Chini wilaya ya Moshi mwenye umri wa miaka 47 kwa tuhuma za kumuu... Read more »
AUAWA KWA KULIPUKIWA NA BOMU LA KUTUPA KWA MKONO MKOANI KIGOMA (HUHESO Digital Blog 11:23 0 Picha ya mfano wa bomu Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Amosi Petro mwenye umri wa miaka 45 mkulima na mkazi wa kijiji na kata ya Basanza... Read more »
KABURI LAFUKULIWA MWILI WA MAREHEMU WANYOFOLEWA MOYO (HUHESO Digital Blog 10:06 0 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amealiagiza Jeshi la Polisi mkoani humo, kufanya uchunguzi wa haraka kuwabaini watu waliohusika na tukio ... Read more »
ALIEHUKUMIWA MIAKA 34 JELA KWA KUMBAKA MWANAFUNZI, KUMWAMBIKIZA UKIMWI KWA MAKUSUDI KAHAMA AACHIWA HURU (HUHESO Digital Blog 10:41 0 Hamimu Yunusu, mkazi wa Kahama mkoani Shinyanga ambaye mwaka 2018 alihukumiwa kifungo cha miaka 34 jela kwa kumbaka mwanafunzi wa darasa la ... Read more »
WATU SITA NA WANANDOA WAFARIKI KWA AJALI YA GARI KUGONGANA USO KWA USO MKOANI MANYARA (HUHESO Digital Blog 10:11 0 Watumishi sita wa Serikali, Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, wakiwamo mke na mume, wamefariki dunia na wengine watano wamejeruhiwa baada ya ... Read more »
MIILI YA WALIOFARIKI AJALI YA NDEGE PRECISION AIR YAAGWA,MVUVI ALIYEOKOA ABIRIA ATUZWA NA PIA APATIWA AJIRA (HUHESO Digital Blog 14:45 0 WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewaongoza wanachi, viongozi wa serikali, dini na vyama vya siasa kuaga miili ya watu 19 waliofariki jana kati... Read more »
ABIRIA WOTE WA AJALI YA NDEGE ILIYOPATA AJALI WAOKOLEWA (HUHESO Digital Blog 17:07 0 ABIRIA waliokuwa katika ndege ya shirika la ndege la Precision Air iliyoanguka katika Ziwa Victoria kabla ya kutua uwanja wa ndege wa Bukob... Read more »
NDEGE YA PRECISION AIR YAANGUKA ZIWA VICTORIA ABIRIA 23 WAMEOKOLEWA NA UOKOAJI UNAENDELEA (HUHESO Digital Blog 10:39 0 Ndege ya Shirika la Precision Air imepata ajali katika Ziwa Victoria, Bukoba mkoani Kagera. Akizungumza kwa njia ya simu leo Jumapili 6, 202... Read more »
ATUMBUKIA KWENYE HANDAKI AKITAFUTA MADINI MKOANI MANYARA (HUHESO Digital Blog 13:41 0 Mtu mmoja aliefahamika kwa jina moja la Agustino mkazi wa Kijiji cha Hoshan kata ya Riroda wilayani Babati mkoani Manyara amefariki dunia ba... Read more »