DED ALALAMIKIWA KUKAA MBALI NA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) (HUHESO Digital Blog 16:25 0 Na Mwandishi Wetu, Iringa MKURUGENZI wa halmashauri ya Wilaya ya Iringa, Bashir Muhoja amekalia kuti kavu baada ya Halmashauri Kuu ya Chama ... Read more »
KWANINI MBOWE HAYUPO AIRPORT? - LISSU AHOJI (HUHESO Digital Blog 16:20 0 Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara) Tundu Lissu ametua nchini, akitokea Ubelgiji alikokimbilia baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwak... Read more »
JELA NA KULIPA FIDIA YA LAKI TANO KWA KUMBAKA DADA YAKE WA TUMBO MOJA (HUHESO Digital Blog 16:40 0 FRANK Kigomba (31) mkazi wa Kijiji cha Kising’a wilayani Kilolo, amehukumiwa kwenda jela miaka 30 na kulipa fidia ya Sh 500,000 kwa kosa la ... Read more »
WAWILI WAUAWA KWA TUHUMA ZA UJAMBAZI WAKUTWA NA MABOMU YA KURUSHA KWA MKONO (HUHESO Digital Blog 15:40 0 Watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wenye umri kati ya miaka 25 hadi 30 wameuawa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera na kisha kukutwa na... Read more »
𝖩𝖤𝖲𝖧𝖨 𝖫𝖠 𝖯𝖮𝖫𝖨𝖲𝖨 𝖬𝖪𝖮𝖠 𝖶𝖠 𝖲𝖧𝖨𝖭𝖸𝖠𝖭𝖦𝖠 𝖫𝖨𝖬𝖤𝖪𝖠𝖬𝖠𝖳𝖠 𝖬𝖠𝖣𝖠𝖶𝖠 𝖸𝖠 𝖪𝖴𝖫𝖤𝖵𝖸𝖠 𝖡𝖠𝖭𝖦𝖨 𝖪𝖨𝖫𝖮 10,𝖪𝖤𝖳𝖤 278,𝖶𝖠𝖭𝖠𝖭𝖢𝖧𝖨 𝖬𝖥𝖨𝖪𝖤 𝖪𝖨𝖳𝖴𝖮𝖭𝖨 𝖪𝖴𝖳𝖠𝖬𝖡𝖴𝖠 𝖬𝖠𝖫𝖨 𝖹𝖨𝖫𝖨𝖹𝖮 𝖮𝖪𝖮𝖳𝖶𝖠 (HUHESO Digital Blog 14:49 0 𝖪𝖺𝗆𝖺𝗇𝖽𝖺 𝗐𝖺 𝖩𝖾𝗌𝗁𝗂 𝗅𝖺𝖯𝗈𝗅𝗂𝗌𝗂 𝖬𝗄𝗈𝖺 𝗐𝖺 𝖲𝗁𝗂𝗇𝗒𝖺𝗇𝗀𝖺,𝖠𝖢𝖯,𝖩𝖺𝗇𝖾𝗍𝗁 𝖬𝖺𝗀𝗈𝗆𝗂 𝖺𝗄𝗂𝗓𝗎𝗇𝗀𝗎𝗆𝗓𝖺 𝗇... Read more »
MWALIMU WA SHULE YA MSINGI AKUTWA AMEKUFA NDANI KWAKE DAR ES SALAAM (HUHESO Digital Blog 13:33 0 MWALIMU Gephason Shita wa Shule ya Msingi Tuwapende Watoto, iliyopo Bunju B, Kata ya Mabwepande jijini Dar es Salaam, emekutwa amekufa chumb... Read more »
MAKAMU WA RAISI DKT.PHILIP MPANGO ATOA AGIZO WEZI WA MAJI WAKAMATWE,IKIWEZEKANA WAJENGE VISIMA VYAO,SHINYANGA. (HUHESO Digital Blog 13:28 0 Makamu wa Raisi Dkt.Philip Mpango,Ametoa agizo kwa kamati ya ulinzi na usalama,Wizara na vyombo vya Dola kuwakamata wabadhilifu na wezi wa m... Read more »
WASAMBAZAJI WA KEMIKALI WABAINIKA KUWAUZIA WASIOSAJILIWA WATOZWA FAINI YA MILIONI 61 (HUHESO Digital Blog 16:34 0 Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imewatoza faini ya Sh61milioni wasambazaji saba wa kemikali aina ya Cyanide kwa makosa ... Read more »
TIMU YA KUCHUNGUZA TUHUMA ZA WANAFUNZI KUFUNDISHWA KULAWITIANA YATUMWA KILIMANJARO (HUHESO Digital Blog 17:48 0 Wizara ya Elimu, Sayansi na Elimu ya Juu, imetuma timu maalumu mkoani Kilimanjaro kuchunguza tuhuma za wanafunzi kufundishwa vitendo vya ula... Read more »
AHUKUMIWA KUNYONGWA KWA KUMUUA MKE WAKE (HUHESO Digital Blog 17:40 0 MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imemtia hatiani na kumhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Dibron Saidi kwa kosa la kumuua ... Read more »
WAZIRI BASHE AIFUNGA KAMPUNI YA CANDIA FRESH YA NJOMBE NA MMILIKI AKAMATWE KWA KUNUNUA PARACHICHI HAZIJAKOMAA NA KUZITUPA DAMPO (HUHESO Digital Blog 17:30 0 WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe ameagiza kukamatwa kwa mmiliki wa Kampuni ya Candia Fresh pamoja na kuifunga kampuni hiyo, kwa kile alichoel... Read more »
MILIPUKO YA MABOMU NA RISASI YASIKIKA KAMBI YA JESHI (HUHESO Digital Blog 14:30 0 Milio ya risasi na milipuko mikali imesikika Jumanne asubuhi katika kambi ya kijeshi katika ya mji wa Hawadley katika eneo la Shabelle ya ka... Read more »
MAKAMU WA RAIS PHILIP MPANGO KUFANYA ZIARA MKOANI SHINYANGA KUANZIA KESHO JUMATANO (HUHESO Digital Blog 14:26 0 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yahaya Nawanda akitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muun... Read more »
MITI ELFU MOJA YAPANDWA NA JESHI LA POLISI, SHINYANGA (HUHESO Digital Blog 15:43 0 Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga kushirikiana na wadau mbalimbali limeendesha zoezi la upandaji miti ikiwa ni mkakati wa kuunga mkono agizo ... Read more »
AMCHINJA MKE WAKE NA MWILI KUUTUPA MTONI JIJINI MBEYA KISA AKIMTUHUMU KUCHEPUKA NA JAMAA MWINGINE (HUHESO Digital Blog 18:43 0 Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia, Mapinduzi Siliya (45) kwa tuhuma za kumuua mkewe, Terezia Mtajiha. Siliya anadaiwa kumchinja kwa... Read more »
ASHIKILIWA BAADA YA MKE WAKE MZIMBABWE KUFARIKI AKIWA ANAVUJA DAMU MDOMO AKITIBIWA PWANI (HUHESO Digital Blog 18:27 0 MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Michael anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kutokana na utata wa kifo cha anayedaiwa kuwa mke ... Read more »
MOROCCO WASUSIA MICHUANO YA CHAN INAYOANZA KUTIMUA VUMBI KESHO IJUMAA WAJIONDOA KISA NDEGE (HUHESO Digital Blog 18:20 0 Morocco imejiondoa katika kutetea taji lao la Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) mwezi huu baada ya kukataliwa kusafiri moja kwa moja hadi ... Read more »
WALIKUWA WANATUKANANA VIPIMO VILIKUWA HAVIJAISHA MUDA WAKE, NI WAUUGUZI WALIOSAMBAA MTANDAONI WAKITUKANANA (HUHESO Digital Blog 18:14 0 Takribani wiki moja tangu kusambaa kwa video ya watumishi wawili wa afya wakibishana juu ya matumizi ya vipimo vilivyosadikika kuisha muda w... Read more »
KUNDI LA 17 LAONDOKA NGORONGORO (HUHESO Digital Blog 16:59 0 Kundi la 17 lenye jumla ya kaya 34 na watu 179 pamoja na Mifugo 625 leo Januari 12 limeondoka rasmi kutoka eneo la hifadhi ya Ngorongoro ku... Read more »
KERO YA UHABA WA MBOLEA NCHINI KUWA HISTORIA IFIKAPO 2030 (HUHESO Digital Blog 15:27 0 Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda cha mbolea Itracom, Nduwimana Nazaire (katikati) akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari walipotembelea eneo... Read more »